Wajinga dio waliwao,...
huyu dada ni mnyarwanda,anaimba kwaya ya "Ambassadors of Christ choir"
Watu wanapenda avatar kweli wanajikuta wanatongoza midume duh
Hiyo inaanza kwetu sisi bana
kama sisi tukiwa close bila shaka na wao wataiga hizo mambo na watakuwa close na utajakuta undugu umekuwa na nishakuwa baba mkwe wako bana
Ndo maana nilikuwa najiuliza nimemuona wapi huyu dada nikashindwa kupata jibu
Kumbe ni hao ndugu zetu bana
nawapenda sana wana Ambassador wanaimba bana
hahahaha mkuu hiyo ni sawa kabisa kutongoza madume ipo sana maana unashangaa unatongoza kumbe ni mwanaume
Ndo maana nilikuwa najiuliza nimemuona wapi huyu dada nikashindwa kupata jibu
Kumbe ni hao ndugu zetu bana
nawapenda sana wana Ambassador wanaimba bana
hahahaha mkuu hiyo ni sawa kabisa kutongoza madume ipo sana maana unashangaa unatongoza kumbe ni mwanaume
ni mabadiliko makubwa sana yanatikea hasa kwa mama, nimeiona kwa sister angu alikuwa ni mtu mababe asiokuwa na huruma kabisa lakini tangu amekuwa na mtoto kabadilika mpaka kwa wengine hata ule ubabe sijui umeishia wapi, anapenda mpaka watoto wa wengine.
mchunguze vizuri asije akawa member wa al-shabab
wanabadilika kwa muda wakirudia wanarudi marambili ya walivyokuwa
what changes when you have a baby?
Or say: What doesn't change after you get a baby?
1.you finally stop to smell the roses, because your baby is in your arms. You find your baby smells better that anything.
2. The sacrifices you thought you made to have a child no longer seem like sacrifices.
3. You respect your body ... Finally.
5. You respect your parents and love them in a new way.
6. You find that your baby's pain feels much worse than your own.
7. You believe once again in the things you believed in as a child.
8. You lose touch with the people in your life whom you should have banished years ago.
9. Your heart breaks much more easily.
10. You think of someone else 234,836,178,976 times a day.
11. Every day is a surprise, then say "god is great"!
12. Bodily functions are no longer repulsive. In fact, they please you. (hooray for poop!)
13. You look at your baby in the mirror instead of yourself.
14. You become a morning person.
15. Your love becomes limitless, a superhuman power.
16.you discover how much there is to say about one tooth.
17.you finally realize that true joy doesn't come from material wealth.
18.you now know where the sun comes from.
19.you'd rather buy a plastic tricycle than those shoes that you've been dying to have.
20. You realize that although sticky, lollipops have magical powers.
21. You don't mind going to bed at 9 p.m.
I love my daughter,whenever i think of her i get more strength to do more
of what i do.
What hasn't changed?mmmh,....i think of others (mum,dad and my daughter) than before.
Is this common to all?men and women?
si ajabu ukataka na mahari ya kuanzia!baba mkwe mratajiwa bana
mshale wa akili unagonga kulekule!!Clemmyumesahau na nyie upendo wa ""unyumba ""mnausahau kweli mnaamishia kwa wanenu wengine tunaishia kupiga talalila chooni
Mh,sio rahisi.
Me kuna mtu nilimpenda kweli ila kutokana na ukaribu wa familia
zetu tulichukuliana kama ndugu na ilikua ngumu kweli kuwa na mahusiano
ya kimapenzi kati yetu.
Acha ije itokee bahati mbaya tu wakutane haha
ni balaaa aisee.
too bad wa3 kati yao walifariki kwenye ajali.
But duh,she is cute aisee
si ajabu ukataka na mahari ya kuanzia!
si ajabu ukataka na mahari ya kuanzia!
Good idea haha,mahali ya kuanzia umenikumbusha enzi
za mtoto anazaliwa tu mzee kijijini anaahidi atamuoa kwa ngombe 50 ila anatanguliza
30 kwa mda huo,....akifikisha 14 anamalizia na kumchukua binti duh
binafsi inanifanya nielelewe zaidi magumu waliyopitia wazazi wangu na kutambua umuhimu wao....
What hasn't changed?mmmh,....i think of others (mum,dad and my daughter) than before.
Is this common to all?men and women?