iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Kuna hii situation baada ya kukosa kazi kila unaempigia simu kwaajiri ya msaada anakua hapokei simu kama vile wote wameambizana kutokukupokelea simu.
Roho yangu ndo imeweza kufunguka na nimeweza kuwajua binadamu jinsi walivo wabaya wa roho na nafsi.
Mpaka wadeni wangu nikiwapigia wananisubirisha [emoji17]
Natamani ningekua mchawi niwaloge wote [emoji856]