iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Binadamu wanakuthamini ukiwa nacho na ukiwa maiti.
Mgonjwa akiomba mchango wa dawa kila mtu hana ila akifa kila mtu anachangia vyakula na gharama za kufanya msiba uwe wa thamani.
Binadamu tumeumbwa na unafiki pamoja na upendo wa maigizo.
Muweke Mungu wako mbele, hakuna gumu lisilo na mwisho.Kwel kabisa, hili ndo nimeligundua sasa [emoji2357]
Matatizo ni darasa tosha,Kuna hii situation baada ya kukosa kazi kila unaempigia simu kwaajiri ya msaada anakua hapokei simu kama vile wote wameambizana kutokukupokelea simu.
Roho yangu ndo imeweza kufunguka na nimeweza kuwajua binadamu jinsi walivo wabaya wa roho na nafsi.
Mpaka wadeni wangu nikiwapigia wananisubirisha [emoji17]
Natamani ningekua mchawi niwaloge wote [emoji856]
Hii nimeiona sana,kuna demu moja anajifanya anasali sana na anaonekana kusaidia watu kumbe maonesho ,nyuma ya pazia ni mnaa kinyamaBinadamu wanakuthamini ukiwa nacho na ukiwa maiti.
Mgonjwa akiomba mchango wa dawa kila mtu hana ila akifa kila mtu anachangia vyakula na gharama za kufanya msiba uwe wa thamani.
Binadamu tumeumbwa na unafiki pamoja na upendo wa maigizo.