LGE2024 Ukishapiga kura huwa kuna mawakala kutoka vyama vilivyoshiriki kusimamia kura zake. Wewe unabaki kituoni kulinda nini?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura

Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea

Ni angalizo tu

Ahsanteni sana 😀🐼🔥
 
Matunda ya kulinda kura yalionekana kwenye uchaguzi wa 2010, Ndio ninyi wezi wa kura mlipoona kulinda kura kunaleta matokeo chanya yanayokinzana na wizi, maamuma kuongeza MITA za kusubiri. Kwani kura zikilindwa kipi kinapungua? Mwizi anaogopa mtu asiweke ulinzi
 
Ule muda wako pombe zimeshafika utosini umefika, nennda kalale sasa.
1995 tulikaa mita 30 Toka Jengo la Manispaa tukisubiri kutangaziwa Ushindi wa Mwalimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa Nccr mageuzi 😀🔥🔥
 
Matunda ya kulinda kura yalionekana kwenye uchaguzi wa 2010, Ndio ninyi wezi wa kura mlipoona kulinda kura kunaleta matokeo chanya yanayokinzana na wizi, maamuma kuongeza MITA za kusubiri. Kwani kura zikilindwa kipi kinapungua? Mwizi anaogopa mtu asiweke ulinzi
Unazilindaje sasa?🐼
 
Back
Top Bottom