johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ule muda wako pombe zimeshafika utosini umefika, nenda kalale sasa.Wako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura
Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea
Ni angalizo tu
Ahsanteni sana ππΌπ₯
Matunda ya kulinda kura yalionekana kwenye uchaguzi wa 2010, Ndio ninyi wezi wa kura mlipoona kulinda kura kunaleta matokeo chanya yanayokinzana na wizi, maamuma kuongeza MITA za kusubiri. Kwani kura zikilindwa kipi kinapungua? Mwizi anaogopa mtu asiweke ulinziWako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura
Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea
Ni angalizo tu
Ahsanteni sana ππΌπ₯
Kama Nyumba ina mlinzi mlango unafunga wa nini? ππUkishafika usiku wewe lala ndani mlango wazi tu , kwani usiku , mali zilizopo ndani kwako ni za majambazi tu.
Walinzi hushirikiana na majambazi siku zoteπππKama Nyumba ina mlinzi mlango unafunga wa nini? ππ
1995 tulikaa mita 30 Toka Jengo la Manispaa tukisubiri kutangaziwa Ushindi wa Mwalimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa Nccr mageuzi ππ₯π₯Ule muda wako pombe zimeshafika utosini umefika, nennda kalale sasa.
Unazilindaje sasa?πΌMatunda ya kulinda kura yalionekana kwenye uchaguzi wa 2010, Ndio ninyi wezi wa kura mlipoona kulinda kura kunaleta matokeo chanya yanayokinzana na wizi, maamuma kuongeza MITA za kusubiri. Kwani kura zikilindwa kipi kinapungua? Mwizi anaogopa mtu asiweke ulinzi