Ukishindwa kwa sababu zako usiaminishe watu kuwa mambo ni magumu na yasiyowezekana

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
Harakati ni ngumu ila sio kama wanavyotia chumvi wakata tamaa.

Kuna mtu ukimpa sikio lako utaona mambo ni magumu sana maana kila kitu atakueleza kwa namna isiyowezekana.

Wasikilize kwa akili kubwa sana wakata tamaa kwa sababu hawamini tena kwenye uwezekano bali ugumu kwenye kila jambo.

#Instagram @fikia ndoto zako.
 
Tatizo sio kufanya kazi!Tatizo baada ya kupata hicho unachotaka kukilinda kisichukuliwe!

Mf hayo mafuriko ya Dar yameua uchumi wa wangapi!!? Ndoto za wangapi!matumaini ya wangapi!!?

Unaweza piga mzigo na kweli ukajipata baada ya kupata changamoto za kujipata zikakuangusha!

Tumeona wengi!
 
Hii ni kweli kabisa kuna tatizo sio uvivu bali asili tu inachukua mkondo wake ila hao wa namna hiyo maneno yao huwa tofauti na waliokata tamaa kwa sababu zao za uvivu na nyingine zifananazo na hizo
 
Tena katika vitu sivipendi na sivitaki vinisogelee ni watu wavivu waliojikatia tamaa.
Hawa watu ukiwaendekeza na wewe hata km ulikuwa na ndoto zako za kufikia malengo yako watakurudisha nyuma.! Hao ni zaidi ya virus. Kwao kitu kinatembea kwenye ubongo wao ni “KUSHINDWA” kaa nao mbali
 
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom