Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Hii ni kweli kabisa kuna tatizo sio uvivu bali asili tu inachukua mkondo wake ila hao wa namna hiyo maneno yao huwa tofauti na waliokata tamaa kwa sababu zao za uvivu na nyingine zifananazo na hizoTatizo sio kufanya kazi!Tatizo baada ya kupata hicho unachotaka kukilinda kisichukuliwe!
Mf hayo mafuriko ya Dar yameua uchumi wa wangapi!!? Ndoto za wangapi!matumaini ya wangapi!!?
Unaweza piga mzigo na kweli ukajipata baada ya kupata changamoto za kujipata zikakuangusha!
Tumeona wengi!
😊Sema ukifail unakuwa motivation speaker tu mbn poa
🙌Aise! Umegusa athari za uvivu na bidii kwa pamoja short and clear kiintellectual sana gentleman 👊💪
Kweli kabisaTena katika vitu sivipendi na sivitaki vinisogelee ni watu wavivu waliojikatia tamaa.
Hawa watu ukiwaendekeza na wewe hata km ulikuwa na ndoto zako za kufikia malengo yako watakurudisha nyuma.! Hao ni zaidi ya virus. Kwao kitu kinatembea kwenye ubongo wao ni “KUSHINDWA” kaa nao mbali