Wakuu ninavyosikia kama ukishirikishwa kwenye single moja ya bongoflavor ni kama laki 2 za kitanzania, je kama mwanamuziki wakutoka Marekani mfano SnoopDog akishirikishwa na kama Dr. Dre analipwa kiasi gani? lengo langu kujua ni kwanini wasanii wa bongo mbona wanazidi kua masikini tu. Naomba kuwasilsha.