JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Nawahikishia wote wanaomtukana Hayati Magufuli waziwazi mambo yao yanaendelea kudoda kila siku. Hakuna mtu aliye mtukana Magufuli waziwazi anaendelea vizuri kwa sasa, wengi wao mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Mifano michache.
1. Anthony Dialo. Huyu mambo ya media zake yanayumba sana.
2. Makamba Family - Hawa wamekataliwa kisiasa gafla. Yaani upepo wa Urais alio kuwa nao Makamba Jr mwaka 2015 kwa sasa haupo..hadi Gwaji boy anamzidi kura. Hata kazi zake za uwaziri anazifanya kwa kuforce sana bila raha. Makamba Sr hadi sasa kawa kama kachanganyikiwa.
3. Nape - Mungu ameamua ugomvi. Huyu pale Mtama sizani kama atarudi. Hata kazi zake za uwaziri zimebaki za matukio tu. Kifupi yeye anashugulika na makapuni tu na sio wananchi. Upepo wake wa kisiasa anazidiwa na Msukuma wa Geita.
Wanaofanya kazi zao kwa utulivu bila kumtukana Magufuli nyota zao zinapanda sana.
Tusiweke kinyongo kwa mtu aliekufa, hawezi kujitetea zaidi ya kutetewa na Mungu wake na wafuasi wake. Machozi ya wafuasi hayawezi kumuacha mtu salama.