Ukisika maneno haya unakumbuka wapi?

Ukisika maneno haya unakumbuka wapi?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Ndugu zangu?

Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu.

Je maneno haya umeshawahi kuyasikia
  • Ngawira
  • Ndarama
  • Fagilia
  • Shangingi
  • Chekibobu
  • Utajiju
  • Utaji JJ

Unakumbuka wapi au mwaka gani?

Maneno gani mengine unayakumbuka?
 
Back
Top Bottom