Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 May 16, 2023 #1 Salaam Ndugu zangu? Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu. Je maneno haya umeshawahi kuyasikia Ngawira Ndarama Fagilia Shangingi Chekibobu Utajiju Utaji JJ Unakumbuka wapi au mwaka gani? Maneno gani mengine unayakumbuka?
Salaam Ndugu zangu? Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu. Je maneno haya umeshawahi kuyasikia Ngawira Ndarama Fagilia Shangingi Chekibobu Utajiju Utaji JJ Unakumbuka wapi au mwaka gani? Maneno gani mengine unayakumbuka?