Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Jul 8, 2023 #1 haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 8, 2023 #2 the legend
DAEMUSHIN JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,428 Reaction score 120,464 Jul 8, 2023 #3 Mvutaji bangi kabla na baada ya mechi. Lakini sijawahi kumuona
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,075 Reaction score 1,343 Jul 8, 2023 #4 Mie namkumbuka kwenye Fainali ya Afrika Mashariki na Kati mwaka 2013 kama sikosei. Inapigwa Krosi dakika ya 116 badala ya kuruka anainama then Fowadi wa Yanga anafunga goli. Nilim mind sanaaa
Mie namkumbuka kwenye Fainali ya Afrika Mashariki na Kati mwaka 2013 kama sikosei. Inapigwa Krosi dakika ya 116 badala ya kuruka anainama then Fowadi wa Yanga anafunga goli. Nilim mind sanaaa
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,075 Reaction score 1,343 Jul 8, 2023 #5 https://www.facebook.com/ Pitia hiyo link angalia Yondani anainama then Kenneth Asamoah anafunga goli Ilikuwa 2011
https://www.facebook.com/ Pitia hiyo link angalia Yondani anainama then Kenneth Asamoah anafunga goli Ilikuwa 2011