ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #221
Msimpe pombe sasa 😁😁mkuu umenkumbusha kitu: kunahuyo brother angu ni mtu wangu wa kalibu akishapga bapa 2 t mambo yote hadhalani alafu kesho anakuomba msamaha kuwa ni pombe tu.
Sina ukubwa wa kujua kila kitu😁😁Umeshakuwa mkubwa sasa, unaelewa nini nahitaji, hizo hadithi zinapigwa tukiwa wapi...unajua😅
Mpe nipo tayari..😄 mimi mshangazi hapana bwashee , kuna mshangazi wa kizungu unayo pesa za kutisha ulidai umenielewa nikauonya ila akaniomba nimtafitie kijana wa nchi yangu , upo tayari niupe namba zako bwashee?
Mungu wangu😂🙌Mpe nipo tayari..
Hili jambo sifanyi kama ni mazoea hapana ila ni kipawa na kipaji ambacho Mungu amenipa hivo mpe nipo tayari kumkamia mpaka anipw uraia wa marekani
Fresh ninao kama watatu hv daah nao hovyo kabisa..Hiyo mishangazi itakuua hebu jaribu fresh mdogo wangu😢
Huponi tena aisee 😢😁Fresh ninao kama watatu hv daah nao hovyo kabisa..
Kuna kimoja hiki Ndo kila.siku ni ma video call tuu mpaka najuta sasa
Usiombe ukawa unafanya Kazi ya kutunza Siri kwenye nchi yenye viongozi wezi ,ujue unaweza Kufa Mda wowote ili Siri zao zisivujeSIRI🤐
Ukisikia neno siri unaelewa nini?
Kila mtu ana siri zake asizopenda zifahamike hadharani
Zinaweza kuwa siri nzuri au siri mbaya
Utasikia mtu akisema, Mimi siri zangu nitakufa nazo.
Mara nyingi hii humaanisha kuna mambo aliyoyafanya au anayoyajua ambayo hataki yawekwe wazi kwa sababu yanaweza kuleta aibu, fedheha au madhara kwake
Ndiyo maana anaamua kuzilinda kwa namna yoyote ile zisifahamike.
Umewahi kusikia neno siri za serikali? Au mtu akisema, Mimi nina siri za mtu fulani
Mimi naamini siri zinatofautiana kwa uzito
Ukisikia mtu anakuambia,
Nakueleza ila iwe siri yako, ujue ni siri, lakini sio siri yenye uzito mkubwa sana japo kuna watu husema siri zao nzito na ni mara chache sana
Lakini siri nzito huwa hazitoki kirahisi
Hivi unadhani ni rahisi mtu afanye mauaji halafu aje akuambie waziwazi kwamba ameua?
Au mtu afanye jambo ambalo jamii inaliona la aibu halafu aje alitangaze mwenyewe?
Si rahisi, kwa sababu anaogopa matokeo na fedheha ambazo zinaweza kutokea siri zake zikiwekwa hadharani
Kuna watu wamefanya mambo mengi maishani mwao, mazuri na mabaya, lakini yanabaki kuwa siri zao mpaka mwisho wa maisha
Sasa tuje kwa wale wanaopenda kufukunyua siri za watu (wambeya)
Unakuta mtu amekaa anapanga namna ya kugundua siri za watu ambazo kimsingi hazimhusu
Akishazigundua, anaanza kushangaa
Heh, kumbe huyu mtu yupo hivi!
Kumbe kuna hiki!( ulitumwa😏)
Baadaye anaenda mbali zaidi na kuanza kuzitangaza
Kitendo cha kufunua siri za watu walizoficha pengine kwa miaka mingi ni hatari
Unaweza kujikuta umejiweka kwenye matatizo yasiyokuhusu(kiranga)
Mara nyingi tabia hii huwa kwa watu ambao badala ya kushughulika na maisha yao, wanatumia muda mwingi kuchunguza maisha ya wengine
Utasikia mtu akisema
Mimi nina siri zake
Lakini swali ni moja hata kama kweli unazijua, zinakuhusu nini mpaka uanze kuzitangaza?( Unoko)
Je umetumwa?
Una uhakika hiyo kazi ya kusambaza siri za watu itakuletea faida au itakuletea hasara?
Kuna watu wakisikia jambo wanawashwa sana kulisema
Hawapati amani mpaka walitoe
Lakini unajua madhara ya kutokuwa msiri hata kwa siri zako mwenye ukiacha mbali siri za wengine?
Watu watakujua kupita kiasi
Ukiwa unaeleza kila jambo kuhusu maisha yako, unawapa watu ramani kamili ya maisha yako(wanakujua njee ndani)
Na wakati mwingine hiyo inaweza kutumiwa dhidi yako kukugandamiza maana watu watajua weakness zako
2. Hutakuwa wa kuaminika
Hata wale unaowapelekea siri za wengine watakuona kama mbeya Watajiuliza
Kama ananiletea siri za watu, kesho atapeleka zangu kwa wengine(kamdomo🤐)
3. Unaweza kuingia kwenye matatizo usiyoyatarajia
Wapo watu ambao hawana cha kupoteza
Ukianza kuanika siri zao unaweza kujikuta umeanzisha ugomvi au matatizo ambayo yangeweza kuepukika wakikutia kweny 18 utatii
Dunia ya leo si wanaume wala wanawake wote, lakini baadhi yao wamekuwa watu wa maneno mengi sana
Utakuta wameunda makundi ya kuchambua watu na siri zao
Yule namjua...
Huyu namfahamu...
Lakini swali ni unamjua kweli, au unamfukunyua?????
Cha kushangaza zaidi, kuna wengine huja kwako kwa gia ya kukueleza siri zao za uongo ili tu wakuaminishe
Baadaye wanakusubiri ufunguke na kuwaeleza yako
Ukishajieleza, umeingia mtegoni hapo tayali umeishaa watu washakumaliza
Sasa swali langu nyie wana JF 🤗
Umewahi kuona mtu ambaye akiambiwa jambo hawezi kukaa nalo?
Hata kama siri hiyo inaweza kuleta maafa, yeye anaropoka tu ?
Je, wewe unaweza kuona au kusikia jambo la mtu na ukatulia bila kulisambaza?
Na siri zako binafsi, unaweza kuzitunza au hupati amani mpaka uzimwage kwa wengine?
Ulijisikiaje ulipogundua siri yako uliyodhani hakuna wanaoijua imeanikwa?
Ukisikia neno siri unaelewa nini? Karibu✍️
ShesRise_1 🤚
Sabato day👌
Asantee 🙏🙏
Ni hatari roho mkononi hata ikivujishwq na mtu mwingine inakula kwakoUsiombe ukawa unafanya Kazi ya kutunza Siri kwenye nchi yenye viongozi wezi ,ujue unaweza Kufa Mda wowote ili Siri zao zisivuje
Neno siri linamaanisha taarifa, jambo, au maarifa yoyote yanayotunzwa kwa makusudi ili yasijulikane na watu wote, isipokuwa tu na mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu walioidhinishwa.SIRI🤐
Ukisikia neno siri unaelewa nini?
Kila mtu ana siri zake asizopenda zifahamike hadharani
Zinaweza kuwa siri nzuri au siri mbaya
Utasikia mtu akisema, Mimi siri zangu nitakufa nazo.
Mara nyingi hii humaanisha kuna mambo aliyoyafanya au anayoyajua ambayo hataki yawekwe wazi kwa sababu yanaweza kuleta aibu, fedheha au madhara kwake
Ndiyo maana anaamua kuzilinda kwa namna yoyote ile zisifahamike.
Umewahi kusikia neno siri za serikali? Au mtu akisema, Mimi nina siri za mtu fulani
Mimi naamini siri zinatofautiana kwa uzito
Ukisikia mtu anakuambia,
Nakueleza ila iwe siri yako, ujue ni siri, lakini sio siri yenye uzito mkubwa sana japo kuna watu husema siri zao nzito na ni mara chache sana
Lakini siri nzito huwa hazitoki kirahisi
Hivi unadhani ni rahisi mtu afanye mauaji halafu aje akuambie waziwazi kwamba ameua?
Au mtu afanye jambo ambalo jamii inaliona la aibu halafu aje alitangaze mwenyewe?
Si rahisi, kwa sababu anaogopa matokeo na fedheha ambazo zinaweza kutokea siri zake zikiwekwa hadharani
Kuna watu wamefanya mambo mengi maishani mwao, mazuri na mabaya, lakini yanabaki kuwa siri zao mpaka mwisho wa maisha
Sasa tuje kwa wale wanaopenda kufukunyua siri za watu (wambeya)
Unakuta mtu amekaa anapanga namna ya kugundua siri za watu ambazo kimsingi hazimhusu
Akishazigundua, anaanza kushangaa
Heh, kumbe huyu mtu yupo hivi!
Kumbe kuna hiki!( ulitumwa😏)
Baadaye anaenda mbali zaidi na kuanza kuzitangaza
Kitendo cha kufunua siri za watu walizoficha pengine kwa miaka mingi ni hatari
Unaweza kujikuta umejiweka kwenye matatizo yasiyokuhusu(kiranga)
Mara nyingi tabia hii huwa kwa watu ambao badala ya kushughulika na maisha yao, wanatumia muda mwingi kuchunguza maisha ya wengine
Utasikia mtu akisema
Mimi nina siri zake
Lakini swali ni moja hata kama kweli unazijua, zinakuhusu nini mpaka uanze kuzitangaza?( Unoko)
Je umetumwa?
Una uhakika hiyo kazi ya kusambaza siri za watu itakuletea faida au itakuletea hasara?
Kuna watu wakisikia jambo wanawashwa sana kulisema
Hawapati amani mpaka walitoe
Lakini unajua madhara ya kutokuwa msiri hata kwa siri zako mwenye ukiacha mbali siri za wengine?
Watu watakujua kupita kiasi
Ukiwa unaeleza kila jambo kuhusu maisha yako, unawapa watu ramani kamili ya maisha yako(wanakujua njee ndani)
Na wakati mwingine hiyo inaweza kutumiwa dhidi yako kukugandamiza maana watu watajua weakness zako
2. Hutakuwa wa kuaminika
Hata wale unaowapelekea siri za wengine watakuona kama mbeya Watajiuliza
Kama ananiletea siri za watu, kesho atapeleka zangu kwa wengine(kamdomo🤐)
3. Unaweza kuingia kwenye matatizo usiyoyatarajia
Wapo watu ambao hawana cha kupoteza
Ukianza kuanika siri zao unaweza kujikuta umeanzisha ugomvi au matatizo ambayo yangeweza kuepukika wakikutia kweny 18 utatii
Dunia ya leo si wanaume wala wanawake wote, lakini baadhi yao wamekuwa watu wa maneno mengi sana
Utakuta wameunda makundi ya kuchambua watu na siri zao
Yule namjua...
Huyu namfahamu...
Lakini swali ni unamjua kweli, au unamfukunyua?????
Cha kushangaza zaidi, kuna wengine huja kwako kwa gia ya kukueleza siri zao za uongo ili tu wakuaminishe
Baadaye wanakusubiri ufunguke na kuwaeleza yako
Ukishajieleza, umeingia mtegoni hapo tayali umeishaa watu washakumaliza
Sasa swali langu nyie wana JF 🤗
Umewahi kuona mtu ambaye akiambiwa jambo hawezi kukaa nalo?
Hata kama siri hiyo inaweza kuleta maafa, yeye anaropoka tu ?
Je, wewe unaweza kuona au kusikia jambo la mtu na ukatulia bila kulisambaza?
Na siri zako binafsi, unaweza kuzitunza au hupati amani mpaka uzimwage kwa wengine?
Ulijisikiaje ulipogundua siri yako uliyodhani hakuna wanaoijua imeanikwa?
Ukisikia neno siri unaelewa nini? Karibu✍️
ShesRise_1 🤚
Sabato day👌
Hicho unachojua ndio nachotaka mjukuu!🤣Sina ukubwa wa kujua kila kitu😁😁
😅🤣🤣 aisee !siku hizi namsikiliza na kumuitiakia kinafiki tu, zile "ndio,enhee, duh, "
Asante kwa ufafanuzi mzuri🙏🙏Neno siri linamaanisha taarifa, jambo, au maarifa yoyote yanayotunzwa kwa makusudi ili yasijulikane na watu wote, isipokuwa tu na mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu walioidhinishwa.
Katika muktadha wa maisha ya kila siku, siri hujidhihirisha kama mambo ya kibinafsi ya mtu—kama vile afya au maisha ya familia—ambayo analinda kwa ajili ya faragha yake. Kijamii na kitaalamu, siri ni nguzo kuu ya uaminifu ambapo madaktari, wanasheria, na mabenki wanawajibika kisheria kutofichua taarifa za wateja wao, huku makampuni yakilinda mifumo na fomula za bidhaa zao ili kuhimili ushindani wa kibiashara.
Kiwango cha juu zaidi cha siri kinahusisha usalama wa nchi, ambapo taarifa za kijeshi na kidiplomasia hulindwa vikali ili kuzuia hatari yoyote dhidi ya taifa, ulinzi ambao siku hizi unajumuisha pia usalama wa kidijitali kupitia usimbaji wa nywila na data za mtandaoni ili kuzuia uhalifu wa kimtandao.
Njoo uchukue kama ni hichoHicho unachojua ndio nachotaka mjukuu!🤣
Siri zipo na ndio hizo ambazo huzijuiNadhani hapa duniani 99% hakuna siri, mana siri n ya mtu mmoja
Mkishakuwa wawili, hy sio siri.
I can imagine vile nitakavyokichukua🤣🤣Njoo uchukue kama ni hicho
Itakua moment nzuri sana nitakupa chote mpka ukombeeI can imagine vile nitakavyokichukua🤣🤣