Janja mbona hana shida ? Mda mwingine ni utani tu , mimi nimeignore kibao ila mwisho wa siku nilikugundua ni ego za kijinga tu nikawatoa πYa ku mu attack mtu binafsi yaan haiwezekani kuchangia bila ku mu attack mtu ππ ama kweli
Sema nini kuna watu hua kama mwezi mchanga ni ku ignore huko
Kwani ni kweli ulikua jambazi au π πtulipoachana alienda kuwaambia kwao mimi ni jambaziππ
Huyo ni kama akiniona anapataa kichaa πJanja mbona hana shida ? Mda mwingine ni utani tu , mimi nimeignore kibao ila mwisho wa siku nilikugundua ni ego za kijanga tu nikawatoa π
Kivipi ?Huyo ni kama akiniona anapataa kichaa π
Asubiri wanoko wenzie waje waungane
Sinaga habari na habari za mtu, hata nikijua siwezi ongea popote pale.Mzee wa kuchezesha wewe unaweza kuona kitu ukanyamaza?
Wewe mbona husemi jinsia yako?Hakuna cha siri bwashee, hakuna mchongo utaufanya iwe siri maisha yetu yanategemeana vibaya mno, ego tu
Thank you π
Sasa kulikua na haja gani ya kunitolea maneno mfano et nina ego πKivipi ?
Jinsia yangu sio siriWewe mbona husemi jinsia yako?
Husemi kazi yako?
Husemi madeni yako?
Husemi wizi wako?
Ego iko wapi hapo acha kupotosha watu na kwa akili yako utabwabwaja kila kitu.
Platinum kumbe una madini hivi then upo kimya nakuja unipe mbinu za ujasusiπββοΈπββοΈπββοΈNyongeza; Ndio maana kwenye kutaka kujua siri, wapelelezi wanafundishwa kwanza ku "trace" faragha na mienendo ya wahusika; faragha na mienendo ndiyo ndio huwapeleka wapelelezi kwenye kujua siri husika.
Ni muhimu kuwa msiri sana sana. Though siri zingine ni toxic zaweza kukuua.Ni kweli
Safii Mwanaume anatakiwa kua hivi hata mwanamke piaSinaga habari na habari za mtu, hata nikijua siwezi ongea popote pale.
Wanangu wananijua vema.. hata zile mbanga za huyu hivi huyu vile sipendi ongelea,
Unaitikia kinafki usikose papuchiπ πKidoogo mke wangu kanibadili, hapo awali ilikuwa akianza kunipa habari za huyu na yule, napotezea natia mada nyingine, nikaja kugundua namkosea sababu anapenda kunipigisha stori hizo, siku hizi namsikiliza na kumuitiakia kinafiki tu, zile "ndio,enhee, duh, "
Platinum kumbe una madini hivi then upo kimya nakuja unipe mbinu za ujasusiπββοΈπββοΈπββοΈ
Exactly π―Ni muhimu kuwa msiri sana sana. Though siri zingine ni toxic zaweza kukuua.
NiambieπAu nikwambie siri 1
Aaah sasa una haribuuSina ujasusi wowote mie, nipo zangu home tuu hapa na bando langu la jero, nafuatilia uzi wako. π
Muhimu, nilichogundua anapenda umbea(hawezi weka jambo,) na hana wa kuzungumza nae, jambo yuko radhi akae nalo hata miezi mi3 kama sipo, ila siku nikirudi atanimwagia yoooote.ππSafii Mwanaume anatakiwa kua hivi hata mwanamke pia
Unaitikia kinafki usikose papuchiπ π
"Everything is but an illusion" ndo maana wakina Albert Einstein waliishia kupiga nyeto tu. If you see the truth you can't unsee it.Siri ni illusion kama ilivyo upendo tu
Kianzio laki 3 za kitanzania.Makongo hapo?
Sh ngapi kufanya hizo kazi zote?
Kitendo cha madeni yako kujulikana na benki tuu hiyo ni siriJinsia yangu sio siri
Madeni yangu bank wanayajua sio siri
Wizi wangu niliowaibia wanajua sio siri
Wewe ni unabwabwaja fuc,,,k yuπ
Ameshakugeuza mbeya wa reja reja πMuhimu, nilichogundua anapenda umbea(hawezi weka jambo,) na hana wa kuzungumza nae, jambo yuko radhi akae nalo hata miezi mi3 kama sipo, ila siku nikirudi atanimwagia yoooote.ππ