Ukichukulia kitu personal utaishia kupata cha kukufurahisha tu na sio cha kuku challenge ShesRise_1Janja mbona hana shida ? Mda mwingine ni utani tu , mimi nimeignore kibao ila mwisho wa siku nilikugundua ni ego za kijinga tu nikawatoa 😁
Kuna mahali tulikuwa kwenye mafunzo fulani.Ni muhimu kuwa msiri sana sana. Though siri zingine ni toxic zaweza kukuua.
Au nikwambie siri 1
😂 mmmmh mwoneeee,unapenda jua siri za watu weweeee!Exactly 💯
Niambie👂
Great 👍Kuna mahali tulikuwa kwenye mafunzo fulani.
Kuna msala ukatokea ambao kama nisingefanya nilichokifanya huenda kikosi chote tungepigwa chini, ila nilifanya jambo dogo la kijinga lililotubakiza salama hadi tukamaliza mafunzo japo wachache walitolewa mbuzi wa kafara.
Si umesema mwenyewe unaniambia uzuri sisemi kwa watu😅😂 mmmmh mwoneeee,unapenda jua siri za watu weweeee!
Hapana. Hadi hapo tayari nimeshatoa siri maana sijawahi kumsimulia mtu yeyote nilichokifanya hadi tukapona.Unaonaje ukitueleza bila ya kificho mzee wa Ego
Hongera mkuuHapana. Hadi hapo tayari nimeshatoa siri maana sijawahi kumsimulia mtu yeyote nilichokifanya hadi tukapona.
Wochi yua six na usubiri watu wenye akili watakaohoji comment yangu yu as,, hole.🖕Kitendo cha madeni yako kujulikana na benki tuu hiyo ni siri
Jinsia yako sisi hatuijui ni siri yako kama hakuna siri tembea uchi.
Hata kitendo cha sukari kukupanda hiyo nayo ni dalili zakukosa siri.
mkuu ukiona umechoka hzo kazi unaoa upate usaidizJioni ya leo nahitaji mdada ambaye anaweza kuja kunisaidia kuosha vyombo, kufua na kufanya usafi chumba changu
Sio bure nitalipia.
Nipo Makongo juu, opp na Changanyikeni.
😂Wochi yua six na usubiri watu wenye akili watakahoji comment yangu yu as,, hole.🖕
Pole nani kakutangaza😢Mbona tukiomba game mnatutangaza?
Hii laki 3 ni kwa siku sio? Ni kufua na kuosha vyombo tu?Kianzio laki 3 za kitanzania.
Wewe😂😂Pole nani kakutangaza😢
Wewe kuwa jambazi ndo shida sio yeye, alilinda survival yake, na hiyo haikuwa siritulipoachana alienda kuwaambia kwao mimi ni jambazi😁😁
Hakana hoja ila kanajitutumua kama kuku kishingo
Hahahaaaaa utayabwaga hapa masiri yoteeee thubutuSi umesema mwenyewe unaniambia uzuri sisemi kwa watu😅
Mm ntakupa dau kubwa kidogo, ila another favor nataka usiku uwe unanipa massage nilaleHii laki 3 ni kwa siku sio? Ni kufua na kuosha vyombo tu?