Ukisikia neno siri unaelewa nini?

Yeah naelewa sana bwashee, ila kaja kichuma mboga na mimi nitampa pigo za huo huo mkao wake, bwashee.
No mercy kabisa kama alikuwa na anxiety ina geuka kuwa depression

Sema nini tuishi kwa upendo tu bwashee mwisho tunaishia down tu. Nimejifunza kuangalia mtu yupo level gani then namtreat in a good possible way hiyo level yake iweze ku capture kitu fulani
 
Rafiki yako unae muamini nae ana rafiki yake anaye mwamini nakuendelea , siri yako ya mda mfupi ni pale unakopupu chooni , ukishaumwa sio siri tena
Ndio maana ni kasema siri nzito hua hazitoki kirahisi mimi mpka nasema siri yangu basi hiyo siri sio sensitive

Siri sensitive watu wanaendanazo kaburini bwashee

Iila umesema kweli
 
Nachoweza sema ni kua, Kujua kuna ghalama ya kulipia. Ndio maana kadri unavyozidi kujua unazidi kutokua na furaha na mpweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…