Kiula s shashota
Member
- Jan 9, 2013
- 46
- 3
Ukisikia mtu anahema kwa kutwita kama yupo mpirani,na ana woga kama kuku anaetaka kuchinjwa ujue NECTA wame fichua siri ya matokeo.ivi karibuni tu watu watazimia,wengine watafurahia,wengine uzuni kiasi kutokana na matokeo.Usishangae kidato cha nne ni kikwazo kikubwa cha ukatishi wa ndoto za wanafunzi,ususani kidato cha nne.
Mtihani hauna mjanja,uenda ukafauru ama kutofauru.
Tafakari kwa sasa matokeo yako ama matokeo ya rafiki,ndugu yatakuwaje...?
Matokeo ya form 4 ni zamu ya mama Ndalichako(Dr) kuwa hewaniitapendeza kama naibu wazr atatupa mchanganuo kama alivyo fanya kwenye matokeo ya kidato cha pli
Haraka ya nini wakati form 5 hadi July? Yatatoka after Easter