Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto.
Hongera Man City, ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!
Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana!! Ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa!! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto!! Hongera man city!! Ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!!