Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu
tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa
bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka
ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa sauti
ya kumtoa nyoka shimoni;MDADA: Swiry, darling
baby unajua leo kumbe birthday yangu
 
Wee si umetoa kuonyesha unazo na matumizi ya kuzitumia huna... Soo ndio unatajiwa matumizi. Alafu achaa kelelee mwanamke ni pesa na matunzoo hata mkeo nyumbani bila matunzo na pesa atakudharau na kukunyima dudu piaa tena na kuambiwa embu niachee ukooo nivue chupi unajua gharama yake. Tumia pesa ikujengee heshimaaa. HASARA ROHO, PESA MAKARATASI
 
Umemaanisha nini???
 
Mkuu kwa siku unatupia thread ngapi .

Maana.una kasi kubwa sana

Yaani mie mwenyewe huwa nacheka maana kutwa anatupia thread tena za mademu lakini zina uhalisia na mazingira halisi tunayoyaona hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…