kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Hangaya bhana😂.. eti wasaidizi wananambia mheshimiwa umeteua wote wa tanga 🙄. Jibu: '..sifuati kabila mimi nafuata uwezo tu...wakikosea nawatumbua'. Lakini si ndio ushateua?😂😂.. Halafu wenye uwezo situnawaona?.. ukituteuliwa mabomu ya kale tunyamaze tu? 😏😏