Ukisikia ya chief hangaya usikiage na yakwetu

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Hangaya bhanaπŸ˜‚.. eti wasaidizi wananambia mheshimiwa umeteua wote wa tanga πŸ™„. Jibu: '..sifuati kabila mimi nafuata uwezo tu...wakikosea nawatumbua'. Lakini si ndio ushateua?πŸ˜‚πŸ˜‚.. Halafu wenye uwezo situnawaona?.. ukituteuliwa mabomu ya kale tunyamaze tu? 😏😏
 
Mastermind wa ufisadi wakisimamia maslahi ya mabeberu yanarudi ulingoni......ngoja tuone awamu hii mbali na IPTL, dowans, symbion, escrow tutaletewa jini gani jingine la kutunyonya damu.
 
Kuna Jamaa kwenye story of change ameandika kiti kizito
Bi. Hangaya na mafisadi wake 2025 lazima washughulikiwe vyovyote iwavyo.
Makamba ni mwenyekiti wa kamati ya udhalimu kumuachia Mungu ni laana ya kujitakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…