Ukisikiliza kibao kipya cha hamonize cha 'Uno', kiukweli kwa mtazamo mkali wa kisanii ni kama uendelezo wa wazo lile la Harmorapa

Ukisikiliza kibao kipya cha hamonize cha 'Uno', kiukweli kwa mtazamo mkali wa kisanii ni kama uendelezo wa wazo lile la Harmorapa

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Kitambo kidogo mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmorapa, ambaye sasa hajulikani yuko wapi, alikuja na kibao chake matata kilichoenda kwa jina la 'Nundu'. alisifia manundu mbalimbali humo kutoka sehemu mbalimbali za Afrika.

Ukisikiliza kibao kipya cha Hamonize cha 'Uno', kiukweli kwa mtazamo mkali wa kisanii ni kama uendelezo wa wazo lile la Harmorapa. Kimesifia mauno ya watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti za Afrika.




Gonga like hapo kama nawe umeliona hilo!
 
Je kama ni coincidence ?
Mfano
Damond na voice wonder waliimba nimpende nani ki tofauti
 
Je kama ni coincidence ?
Mfano
Damond na voice wonder waliimba nimpende nani ki tofauti
haiwezi kuwa coincidence sababu wawili hawa walikuwa wanafuatiliana sana.....haswa huyu harmonize alikuwa kama anaforce sana bifu ikiwemo na kumtaja hamonize karibu katika kila wimbo. nina uhakika hamonize ameusikiliza sana wimbo wa nundu. sio coincidence kabisa!
 
Mbona harmorapa alivyoiga jina la hamonaizi hukufungua uzi?
 
kitambo kidogo mwanamuziki wa kizazi kipya, harmorapa, ambaye sasa hajulikani yuko wapi, alikuja na kibao chake matata kilichoenda kwa jina la 'nundu'. alisifia manundu mbalimbali humo kutoka sehemu mbalimbali za afrika.

ukisikiliza kibao kipya cha hamonize cha 'uno', kiukweli kwa mtazamo mkali wa kisanii ni kama uendelezo wa wazo lile la harmorapa.....kimesifia mauno ya watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti za afrika.

gonga like hapo kama nawe umeliona hilo!
Ni wivu tu huo.
 
Wabongo bhana [emoji23][emoji23]!!

Alikiba 4real katoa wimbo mkali kinoma mkasema kakopi beat ya wimbo wa Ommy Dimpoz Kajiandae

Vilevile Diamond platnumz kaja na wimbo mpya Baba lao mkasema kakopi beat

Sasa sijui mnataka nini!!! nammakonde naye katoa Ngoma nzuri nayeye mnasema kakopi

Mbona msije na nyuzi za kuwasapoti kuliko kuwakatisha tamaa vijana wenzetu? kweli bongo nyoso
 
Back
Top Bottom