Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Hongera sana mpambaji wa mkereketwa wetu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyu ati?Hongera sana mpambaji wa mkereketwa wetu!!
View attachment 2377995
Anaangalia status tu.Hawa ndio tunawaita mashangingi ya chama ana namba hadi za Rais ila hawezi kumpigia
ACheni kuutweza utu wa mtu kisa Ni ccm ,Hakuna mtu anabaki na sura yake ya ujanani had uzeeni nikikuweka picha za mama angu mwaka 2000 na sasa ndio nimeamini watu huuzeeka na kupoteza uzuri wao wa asili ,kwahuyu mwanaccm mm nadhni Ni uzee unamuanza tuHongera sana mpambaji wa mkereketwa wetu!!
View attachment 2377995
Angeacha mkorogo hakuna mtu angemtweza utu wake, shida kilomita kibao anang'ang'ania ujana.ACheni kuutweza utu wa mtu kisa Ni ccm ,Hakuna mtu anabaki na sura yake ya ujanani had uzeeni nikikuweka picha za mama angu mwaka 2000 na sasa ndio nimeamini watu huuzeeka na kupoteza uzuri wao wa asili ,kwahuyu mwanaccm mm nadhni Ni uzee unamuanza tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
HahaHawa ndio tunawaita mashangingi ya chama ana namba hadi za Rais ila hawezi kumpigia
AmechakaaKapigwa mpaka akachokwa
Muache kila mtu na maisha yake bhana.Angeacha mkorogo hakuna mtu angemtweza utu wake, shida kilomita kibao anang'ang'ania ujana.