Ukiskia Mwanachama mkereketwa ndio huyu sasa

Hongera sana mpambaji wa mkereketwa wetu!!
View attachment 2377995
ACheni kuutweza utu wa mtu kisa Ni ccm ,Hakuna mtu anabaki na sura yake ya ujanani had uzeeni nikikuweka picha za mama angu mwaka 2000 na sasa ndio nimeamini watu huuzeeka na kupoteza uzuri wao wa asili ,kwahuyu mwanaccm mm nadhni Ni uzee unamuanza tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Angeacha mkorogo hakuna mtu angemtweza utu wake, shida kilomita kibao anang'ang'ania ujana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…