Ukisoma habari hii inakushawishi kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Grand Slam tennis champion Martina Navratilova amelazwa hospitali nairobi baada ya kupanda kupata matatizo ya maji kwenye mapafu baada ya kupanda mlima kilimanjaro. Ukisoma habari yote utaona kuwa Kenya imeweza kujitangaza kama ndipo mlima huu ulipo kutokana na kuwa na huduma bora za afya. Nina hakika kama tungekuwa tungekuwa na Hospitali za kuaminika mkoani Kilimanjaro au hata Arusha basi tungeweza kujitangaza kwa tukio hili. Huu ni wakati sasa wa kufikiri macroeconomically badala ya kuangalia vitu kimojakimoja.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…