Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Afu redio ya mninga.
Dudu proof!Afu redio ya mninga.
Duuu, nimeipenda signature yako : kuchagua CCM 2010 ni sawa na kufukia mashimo bila kuweka mbegu...utavuna nini?
Signature sawa......ila tu timu anayoshabikia.......!!!
Gang Chomba nimekumiss mzee, umepotelea wapi?
Wewe ulitaka nishabikie timu gani zaidi ya...
Abajalo
Yanga
Ac Milan?
Yanga si yangu, ni yako pia.
Yanga ni ya wazalendo wa Tanzania.
Yanga ndo Tanzania.
Enzi hizo Redio ni Moja tu RTD ya ukweli.
Sasa basi ilikuwa raha kusikiliza mpira halafu mshinde.
Na inayofuata hapa sasa ni nukuu ya kipande cha mwisho cha matangazo ya mpira wa Miguu kati ya Simba ya Dar es Salaam na Yanga ya Tanzania.
'''eeh Mafundi mitambo wetu ktk matangazo haya walikuwa ni Noel Namaloe na Edward Kwilasa.
Na kule ktk Gari yetu ya Matangazo alikuwepo Obi Mwambungu.
Mtangazaji Mwenzangu ni Omar Jongo, Mimi ni Charles Hillary, nawarudisheni Studio Barabara ya Nyerere kwake Nadhir Mayoka kwa ajili ya vipindi vinavyoendelea.
Kutoka hapa uwanja wa Taifa sina la ziada,
Yanga 2-0 Simba...Asanteni
Jamaa bado ana mvuto huwa namsikiliza siku mojamoja idhaa ya kiswahili ya BBC akitangaza ligi kuu ya Uingereza, kupitia Kiss FMNilikuwa napenda sana utangazaji mpira wa charlessssssssss Hilary.alikuwa anamvuto na bashasha za mpira...kweli siku hazigandi!