mwilongo Aron
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 109
- 54
Habari wakuu,
Mfano aliyesomea stashahada ya uhasibu, uchumi au sheria, anaweza kuja kusoma ualimu ngazi ya shahada?
Nilazima uwe na shahada ya kwanza ndio unaruhusiwa kusoma Postgraduate, kwa kukurahisishia chukua dictionary angalia maana ya neno Postgraduate.ni kweli PGE ni lazima uwe na shahada moja
ni kweli PGE ni lazima uwe na shahada moja