S situjadiriane Member Joined Jan 5, 2023 Posts 53 Reaction score 67 Apr 10, 2025 #1 Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.? Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora? Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je hii ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?
Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.? Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora? Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je hii ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?