Wewe na wao hakuna tofauti, ilitakiwa kwanza ukemee nafsi yako kabla ya kuanza kushangaa ya wenzako
Kama mlichunguliana bila zana, wahi kwa Babu Ambi ukapate KIKOMBE
Yaani unaenda nyumba ya wageni, badala ya kufanya kilchokupeleka (kuchunguliana kama ulivyoainisha), waanza kupiga chabo wenzio!! Vipi ulikuwa unatafuta stimu nini? Au ile kuchungulia tu ukakutana na................!!! Tehe tehe tehe!
Hahahaaaaaa, mPwa, Siku hizi hawa ni wakubwa wenzetu bana...ahaya tuambie kwa hio wewe nawe ulikua na kibibi kizee chako?? MMmh lakini sasa mpwa, ulijuaje kama kile kitoto kilikua kidato cha pili? au kilikuwa mali yako kabla?? haya karibu kitimoto kidogo hapa
Ondoa boriti jichoni mwaka ndipo uone kibanzi kwa wenzio!
SHAME ON YOU
We umeenda na mamaa wako...unajuaje kwamba na yeye hakua na mamaa wake?Alafu kwanini mavazi yawe hoja hapa?We suruale unayovaa msikitini/kanisani huendi nayo huko nyumba ya wageni?
7Heshima wakuu wa MMU.
Jana nilienda na mamaa Nyumba ya wageni kuchunguliana vile vilivyotufanya tuwepo hapa Duniani. Wakati tunafanya maandalizi ya hapa na pale ghafla akiri yangu ikanituma niangalie nje kwa kupitia dirishani.
Nilichokiona sikuamini macho yangu hata kidogo kumuona jirani yangu akija na kitoto cha kidato cha pili pale nyumba ya wageni na yeye ana zaidi ya miaka 45, Wakati natafakari kama nimpigie simu kumuonya kuwa sijapenda hiyo tabia yake nikaona kitu kingine ambacho kimenifanya niilete hii mada humu Jamvini, Nilimuona Ustadhi kavaa mavazi ambayo mara kwa mara huvaa MSIKITINI au kwenye MIHADHARA kaongozana na kibinti kidogo ambacho nacho kimevaa USHUNGI wanaingia nyumba ya wageni kuchunguliana.
Swali kwa wana-Jamvi hivi vitu wewe umewahi kuvishuhudia?
Je ni halali kuvaa USHUNGI au ROZALI muendapo ku-do??
WEEKEND NJEMA WANA-MMU.
Unavuta hisia na wapita njia? nachukia mtu ukifika hotel hata kama ni mkoani unakuta mtu anachungulia gari inayopaki inahusu nini wewe jitume umalize uondokeMacho hayana pazia, Si unajua mambo ya kuvutia stimu!!!!
7
Wewe mwenyewe fataki. Hujo nyumba ya wageni ulikuwa huko na mkeo? Au kwa kuwa wewe ulikuwa na mkubwa mwenzio, au kwa kuwa wewe sio ustaadhi au kiongozi wa dini basi unadhani wao tu ndio wamekosea? Inachekesha sana kuona kuwa umeconclude kuwa jirani yako na hako katoto, ustaadhi na huyo binti walikuwa wanaenda kuchunguliana. Unajua uhusiano wa ustaadhi na binti? Kwani guest house ni sehemu ya ufuska tu? _Kwa watu kama wewe ndivyo ilivyo. Lkn kama ustaadhi alikuwa anatafuta accommodation yao je utajulia wapi?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio.
Unavuta hisia na wapita njia? nachukia mtu ukifika hotel hata kama ni mkoani unakuta mtu anachungulia gari inayopaki inahusu nini wewe jitume umalize uondoke
Kumbuka macho hayana Pazia na kuangalia Nje hakuna makosa, au wewe uwa unamwekea sheria mkeo/mumeo asiangalie nje mnapokuwa faragha??
...e bana wee, hii mada nzuri kujadiliwa ila umeharibu mwishoni.
Dhambi haijali kiongozi wa dini au mavazi ya Ibada.
...By the way, si kila aingiae nyumba ya wageni anakwenda kuibanjua amri ya sita.
Otherwise, kusingekuwa na haja ya wamiliki wa nyumba hizo kuweka biblia kila chumba.