Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

Asante Lizzy.... hiyo ndiyo mantiki ya mada.
Ati wanaume wanaojiuza siyo wanaume?! Na ni lini tuliambiwa wanawake wanaojiuza si yo wanawake?

Tabia mbaya akifanya mwanaume, wanamkana siyo mwenzao badala ya kumrekebisha!
 
heheheh DC bana!
Wanaume kwani wakoje? Nijuavyo wana ile bakora ya ajabu kama wengine. Hicho ndicho hutofautisha maana mavazi au style ya nywele si hoja siku hizi.Ndevu na kutokuwa na maziwa si hoja pia.

Hapana dada,

Bakora za kuchoonga na zile za bandia (za kichina) zipo tena za kumwaga na zinafanya kazi vizuri tu.....

Real MEN have masculine chemistry....Testosterone hormone which makes them stronger like petrous bones (miamba)!!!!

Hawa milegezo ni pseudo men....msiwachanganye na wanaume wa shoka!!

Babu DC!!!
 
Wanaume kujiuza kwa wanawake haiwezi kushika kasi hata kidogo.

Msome TF hapo chini...inashika kasi kuliko unavyodhania

Tausi wewe unashangaa leo wakati haya mambo yameanza karibia miaka 4 nyuma, tena kuna wadada wakiwaona hao wanaume wanawababaikia kweli na wanaingia mkenge kweli kweli
yaani! Siko peke yangu kwenye kushangaa TF
 
dah!!!................. nilikuwa nimeziba masikio................. lakini kwa maneno haya nimesikia....................... we sister kichwa sana, .................. nitakutafuta unisindikize mahali.................
 
AK usisahau tu kunijulisha vazi la kutilia siku hiyo mapema.Lolz
 
Asante Lizzy.... hiyo ndiyo mantiki ya mada.
Ati wanaume wanaojiuza siyo wanaume?! Na ni lini tuliambiwa wanawake wanaojiuza si yo wanawake?

Tabia mbaya akifanya mwanaume, wanamkana siyo mwenzao badala ya kumrekebisha!

Ubaguzi wa ajabu kweli. . .
 
Haya ....wasiojua wamejua..wenye kukana wakane...ila habari ndiyo hiii
 
utakanaje ukweli?
Ndo lishakuwa zigo lao
wahangaike nalo tu

wamama wamehangaika nalo wee
bila mafanikio
mwishowe wamezoea
wababa bado wako kwenye 'denial'

So True!
Wababa wakiwa kwenye denial utawaonea huruma.
Men, welcome to the club lol....wake up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…