Acha kumfananisha Mr. Bean na vitu vya ajabu Mkuu..Kwa bunge hili ni bora hata nitafute Filamu za Mr Bean niangalie
Umeonaeeeeee?Kwa bunge hili ni bora hata nitafute Filamu za Mr Bean niangalie
Kwa mtu mwenye akili zake hawezi kulichukulia hili jambo kwa +bali atajiuliza maswali mengi sana.Mimi nitauita huo ni weledi wakitanzania wakileo, au weledi wa wazalendo maslahi binafsi.
Afadhali umeliona hilo mkuuAcha kumfananisha Mr. Bean na vitu vya ajabu Mkuu..
Hasa kuwa mwana CCMili uwe mwana siasa pendwa basi sifa kuu ni kuwa mnafki
HakunaNi mtu gani mwenye Akili timamu anaweza kuyaangalia hayo mazuzu yaliyo jazana hapo yakisubiria posho kutoka ktk Kodi zake kwa kugonga gonga meza tuu.
Inawezekana leo katokea mfadhili wa kulipia hizo gharama na sasa hivi tanzania ni matajiriii sanaSababu zilizotolewa na serikali kuzima bunge!
1.Bunge live ni gharama Dana
2.Bunge live kinafanyika watu wasifanye kazi!
Ajabu ni kuwa sasa watu wamelipuuza bunge!Wao wenyewe wanatamani watu walifuatilie bunge kama zamani