Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

Hivi wanalumumba si ndo wale wakisimama mjengoni wanapinga wanapinga weee alafu baadae wanaunga mkono hoja!!??
 
Hii ndio awamu ya 6.
chini ya Jemedari Mkuu, Mama Samia.
 
Hiv kuna bunge duuuh...niko bizeee na charlie champlin
 
Nipo ofisini hapa napitisha macho kwenye TV naona Bunge la 12 kipindi Cha maswali na majibu Mbashara, je utaratibu huu ndio umerudishwa?
 
Wanadhani watu walikuwa wanaangalia bunge laivu ili spika kuuza sura na kuisifu serikali.

Bunge laivu lilifuatiliwa sababu ya serikali kuadabishwa kwa ya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…