Gideon G Kadoleza
Member
- Oct 12, 2016
- 32
- 13
Ukistaajabu ya musa........
Kweli dunian kuna vituko,
Leo nilikua baa moja ya rafki angu (Kona Bar),
Basi bwana, Wakati napata Kinywaji laini huku nikisindikizwa na Mziki mwanana kutoka kwa Mwanamama mkali wa miondoko ya blues Whitney Houston Kibao kikienda kwa jina la I will always love you,
Mara nikaskia tafrani imezuka meza ya Jirani,
Katika kuhoji kulikoni ndo ikanibidi nicheke,
Iko hivi
Rafiki yangu Mwenye bar Aliniambia alitaka amlete ndugu yake kutoka huko Kijijini kwao TOSAMAMANGA ili Amsaidie kazi ya Ubaa medi,
Na ilikua siku ya kwanza toka ndugu yake huyo aanze kazi hapo kona bar,
Kizaa zaa kilizuka baada ya mteja kumuagiza yule muhudumu Bia ya moto La haula Yule baa medi Si akaenda kuwasha microwave Eti aipashe bia,
Baada ya Muhudumu Kuipasha ile Bia Akaileta Kwa Mteja wake,
Mpaka naondoka Eneo La Tukio Nimeacha watu Watatu Wamezimia Kwa Kucheka
Ama kweli Mjini Kuna Vituko[emoji23][emoji23][emoji23]