Kuna
madudu mengi yamefanyika kwenye selection zilizotoka hivi karibuni
mfano kuna wanafunzi wana div II hawajapangiwa shule,wengine wamepelekwa shule za jinsia tofaut na wao,watu wamepelekwa
combination wasizo chagua na wasizo faulu vizur mengine mengi ntajaza server.