Ukistaajabu ya Wema na Diamond, Utayaona ya Chriss Brown na Karrueche

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye show yake akatangaza yu Single na kumporomoshea mitusi bi shost loh!

Kweli ukistaajabu ya project utayaona ya Zari Ze Boss Lady!

 
Last edited by a moderator:
nimeona kwa chagababy nimeblow ana mineno km mbongo maana
llooooh nimechokaje
 
nimeona kwa chagababy nimeblow ana mineno km mbongo maana
llooooh nimechokaje

chriss brown- christopher brown mwakikonyola
rick rose- erick mwailosi
lady gaga - lydia mwaigaga.... wote haa waswahili tu...
 
Safi sana,arudiane na Riri wangu tu sasa maana naona kama kachanganyikiwa hivi...
Nitafurahije jamani???
 
nimeona kwa chagababy nimeblow ana mineno km mbongo maana
llooooh nimechokaje

Chagga baby aliniblock mumy kisa nilimuita chagga bibi!!
Ila nimemfollow chriss brown hebu nikajionee mambo miye...
Wera weraaaaaa tupa kule karueche rudisha bad girl Riri!!!
 
Anatafuta kiki ya concert Yake Hamna lolotee inanishangaza the amount of attention People seek through Other People...Yaani Rihanna akirudiana na huyo Chris ndio atakuwa mwanamke mjinga kuliko wote
 
Chagga baby aliniblock mumy kisa nilimuita chagga bibi!!
Ila nimemfollow chriss brown hebu nikajionee mambo miye...
Wera weraaaaaa tupa kule karueche rudisha bad girl Riri!!!

mi nipo na hua sikomenti nalike tu
napenda kweli couple ya riri na chris
 
mi nipo na hua sikomenti nalike tu
napenda kweli couple ya riri na chris

Hunizidi mimi,nawapenda sana
Hiyo siku nilicomment kwa usipojipanganitakupanga aliweka picha akauliza huyo ni nani?
Nikajibu chagga bibi!basi nikashangaa simuoni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…