Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Wadau habari za asubuhi,
Natumai mu wazima wa afya tele kabisa,
Swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani kupona kabisa?
Na ustaarabu gani wa kufuata kipindi akishatahiriwa? Yaani kuhusu msosi na malazi pia!
Karibuni tuelimishane!
Ahsanteni na Mungu awabariki!