Aibu lakn kutahiriwa ukubwani pole sana kwa kuchelewa kukatwatoaa mawazo mkuu kutahiriwa ni kutahiriwa tu haijalishi umri gani
[emoji23] we niiini hebu muache mwenzio akatengenezwe banaaDuh!kwaiyo unataka ukatairiwe ukubwani?
Ila hajasema kama ni yyAibu lakn kutahiriwa ukubwani pole sana kwa kuchelewa kukatwa
Unafikiri atafunguka kusema ni yeye?Ila hajasema kama ni yy
Huo mfano si uachane nao tu? Kujiumiza na maswali meengi vile afu ni kwa mfano tuwadau Habari za Asubuhi
Natumai mu wazima wa afya tele kabisaa, swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani Kupona Kabisa?
Na ustaarabu gani wa kufuata kipindi akishatahiriwa? yaani kuhusu msosi na malazi pia!
Karibuni Tuelimishane!
Ahsanteni na Mungu awabariki!
Ungekuwa wewe ungrfunguka?!Unafikiri atafunguka kusema ni yeye?
Hapana kwa kweli ni aibu kubwa mno kukatwa iyo nyama ukubwani sasa cjui kakulia jamii gani uyo mshikaji?Ungekuwa wewe ungrfunguka?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huo mfano si uachane nao tu? Kujiumiza na maswali meengi vile afu ni kwa mfano tu
Awe yy au asiwe yeye ilipaswa tu ashauriwe km alivyoomba na si kuanza kumshutumu moja kwa moja kuwa ni yyHapana kwa kweli ni aibu kubwa mno kukatwa iyo nyama ukubwani sasa cjui kakulia jamii gani uyo mshikaji?
Sawa kabsa mwanangu nimekupata saluteAwe yy au asiwe yeye ilipaswa tu ashauriwe km alivyoomba na si kuanza kumshutumu moja kwa moja kuwa ni yy
Na hata km ni yeye mi naamini sio kosa lake coz hayo mambo ilipaswa wazazi wake ndio wamfanyie
Hata wewe ni wazee wako ndio walikufanyia
Sasa itoshe kumshauri tu basi