Ukitaka cha uvunguni sharti uiname.

[emoji23][emoji23][emoji23] Una utu uzima gani mfyuuu na wewe vile vile ana acc tatu yaan nimefuta fb yangu kama miaka 6 iliyopita
Hahah!! Embu naomba tukiwa tunajadiri vitu unichukulie kama mtu mzima mwenzako
 
Kila mla vya wenzie na vyake uliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Una utu uzima gani mfyuuu na wewe vile vile ana acc tatu yaan nimefuta fb yangu kama miaka 6 iliyopita
Miaka miwili iliyopita mbona ulikuwa unapost picha kwa speed Kali Sana.
 
Kuna ule wimbo wa Othman Soud aliimba akiwa na Muungano Taarab unaitwa "Nipe nikupe"
Then Ay feat Prezzo akaja na "Nipe nikupe"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Inategemea na aina ya uvungu. Sio kila uvungu lazima uiname.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Una utu uzima gani mfyuuu na wewe vile vile ana acc tatu yaan nimefuta fb yangu kama miaka 6 iliyopita
kwani fb unafuta au unadiakiveti, au uninstall..?? ulitumia simu na je hyo simu yako app ya fb ilikuwa pre installed au uliweka toka play store.....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…