Ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo usilime

Hakuna biashara pasua kichwa kama kufukia hela zako ardhini,ziote halafu uzivune na faida.

Wengi tumefukia halafu zimemezwa na udongo moja kwa moja kama lile dubuli la wachina.....bora ununue mazao aisee
 
Nafikiri ungesema ili ufanikiwe kwenye kilimo inabidi ulime kilimo cha kisasa in large scale.
Then unakutana na soko la small scale yan kama ni matikitiki umelima yakakosa soko utataman uyakamue then uoge hyo juis
 
Then unakutana na soko la small scale yan kama ni matikitiki umelima yakakosa soko utataman uyakamue then uoge hyo juis
Ukiwaza large scale farming hata soko unawaza large acale
 
Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
[emoji33][emoji33][emoji33]kwan kauli yetu pendwa ya siasa ni kilimo imefutwa!?
 
Wewe unazungumzia kesi tofauti.
Kuna wanaotaka wao wawe na maeneo yao ya kumiliki kwa ajili yakilimo hao ndo nimewakusudia.

Na kuna ambao wao wanafanya biashara na wakulima ndo hao umewakusudia wewe.
wenzako tunalima tunauza nje,bei mara mbili ya ndani na tuko fresh tunasikia tu majirani wanadai hali imekua ngumu..we subiri kununua uone
 
Hajui kilimo huyo, nadhani anaparuaparua shamba tu!
Acha kukatisha watu tamaa mkuu kama we umeshindwa ni wewe tu mbona wapo wengi tu wamefanikiwa wana maisha safi kabisa nina mashaka we umekulia mjini hata jembe hujui kushika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…