Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:..
Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya ..
Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare wanarudishia used,gari inaendelea kuleta gogoro
Garage nyingine hawaweki geniune parts zaidi ya mchina .....
Garage nyingine gari yako itakaa juu ya mawe kwa muda mrefu wakati wewe unahitaji kuitumia

Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service.

:mod:
 
Mama wa kwanza hivi ni wewe???Najaribu kutafsiri hii lugha nashindwa....mwongozo pleeeeeez!!!!
 
Asante sana FL1 ila naona Umekuwa Addited na Jukwaa la MMU

Asante
 
garage bubu je?
 
Hahahaha baada ya kurudia tena nimeelewa...kweli uchaguzi wa gereji ni process muhimu ya kuzingatiwa!!
 
Garage yoyote bila usimamizi ni kazi bure!! Toyota na DT Dobie wanaoaminika nao pia huwa wanafanya uchakachuzi! Chamuhimu ni wewe kuwa makini wakati wote gari yako inapofanyiwa service!
 
Mama wa kwanza hivi ni wewe???Najaribu kutafsiri hii lugha nashindwa....mwongozo pleeeeeez!!!!

heheh Lizzy tafsida ati ngoja akija Mbu na MMK watakupa muongozo
 
Asante sana FL1 ila naona Umekuwa Addited na Jukwaa la MMU

Asante

Jamani mie sio mwanasiasa niende wapi ,acha mzee wangu aendelee na Dowans mie niongeze utaalam
 
festiledi. wale wanaomiliki mabaskeli makweche je unawashauri nini?
Chini ya mti pale mtaani kuna sehemu wanajaza pancha na kubadili tairi....sio ghali ila kazi wanayofanya haitadumu sana!!!
 
Garage za siku hizi haziaminiki,kila moja ina matatizo yake ,labda garage za mchina?
msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!
 
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:..
Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya ..
Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare wanarudishia used,gari inaendelea kuleta gogoro
Garage nyingine hawaweki geniune parts zaidi ya mchina .....
Garage nyingine gari yako itakaa juu ya mawe kwa muda mrefu wakati wewe unahitaji kuitumia

Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service.

:mod:

Hamna jinsi... Nimekukubali 1st L, hio gari yako iko katika hali nzuri saana... Na la muhimu nikutoa vitu vyako vinavyo bebeka kama L-Top, CM, Camera, Mkoba - nishawahi lizwa aL-Top mpaka kesho na ilikua a very reputable garage ...
 
Chini ya mti pale mtaani kuna sehemu wanajaza pancha na kubadili tairi....sio ghali ila kazi wanayofanya haitadumu sana!!!
uliwahi kuziba baskeli yako nini? mbona unaonekana kuwaelewa sana?
 
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:..
Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya ..
Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare wanarudishia used,gari inaendelea kuleta gogoro
Garage nyingine hawaweki geniune parts zaidi ya mchina .....
Garage nyingine gari yako itakaa juu ya mawe kwa muda mrefu wakati wewe unahitaji kuitumia

Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service.

:mod:

...khaaa!...kumbe nawe u mtundu hivi?
haya bana. Nitaufanyia kazi ushauri.
 
Back
Top Bottom