FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:..
Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya ..
Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare wanarudishia used,gari inaendelea kuleta gogoro
Garage nyingine hawaweki geniune parts zaidi ya mchina .....
Garage nyingine gari yako itakaa juu ya mawe kwa muda mrefu wakati wewe unahitaji kuitumia
Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service.
:mod:

garage bubu je?
Mama wa kwanza hivi ni wewe???Najaribu kutafsiri hii lugha nashindwa....mwongozo pleeeeeez!!!!
Asante sana FL1 ila naona Umekuwa Addited na Jukwaa la MMU
Asante
heheh Lizzy tafsida ati ngoja akija Mbu na MMK watakupa muongozo
Kwanini jamani??@lizzy, mimi napata sana tabu kuelewa coment zako
Chini ya mti pale mtaani kuna sehemu wanajaza pancha na kubadili tairi....sio ghali ila kazi wanayofanya haitadumu sana!!!festiledi. wale wanaomiliki mabaskeli makweche je unawashauri nini?
msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!Garage za siku hizi haziaminiki,kila moja ina matatizo yake ,labda garage za mchina?
Sio kila garage inafaa kufanya service ya gari lako.................:A S-rose:..
Garage nyingine utawekewa oil chafu badala ya oil mpya ..
Garage nyingine badala ya kukuwekea new spare wanarudishia used,gari inaendelea kuleta gogoro
Garage nyingine hawaweki geniune parts zaidi ya mchina .....
Garage nyingine gari yako itakaa juu ya mawe kwa muda mrefu wakati wewe unahitaji kuitumia
Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service.
:mod:
uliwahi kuziba baskeli yako nini? mbona unaonekana kuwaelewa sana?Chini ya mti pale mtaani kuna sehemu wanajaza pancha na kubadili tairi....sio ghali ila kazi wanayofanya haitadumu sana!!!