Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

unachafua CV dada. bora turudi kwenye mada ya magari na garage kuliko mtindo huu.
Hahahha...Kloro kila mtu anajua bili geti haoni ndani kwako....nawasogeza tu kidogo wasije wakakupeleka kwenye gereji za ajabu ajabu!
 
basi kuanzia leo tutakuwa tunatumia overide hata kama tunaenda nusu kilometa.....sawa bebi...

heheeh thats my babe! usjali babe, when u have me, full tank diesel is always guaranteed, u dont have to worry about distance.
 
Ivi ukienda gereji ni wewe ndo unaweka au mafundi?

ni fundi anaweka lakini inabidi na wewe uhakikishe mambo kama iko sawa.......huwezi acha tu fundi menyewe bana
 
Mimi fundi garage,nikizama uvunguni natoka baada ya nusu saa,gari hapo linakuwa tayari lishamwaga oil chafu...nikipanda juu namalizia kazi,full maujuzi..
 
Kumbe inategemea na aina ya gari lol

Teknolojia bana unajua hizi gari za siku hizi ni very sophisticated, mfano utaona zina parking distance control, front and rear camera,cruise control etc hivyo service zake mara nyingi inabidi upeleke kwa authorised dealers ukipeleka gereji bubu gari umeiua maana service zenyewe ni computerized
 
Hahahha...Kloro kila mtu anajua bili geti haoni ndani kwako....nawasogeza tu kidogo wasije wakakupeleka kwenye gereji za ajabu ajabu!
now you are talking Lizzy! hivi gari lako unapaki wapi? njoo upaki home siku moja bana! safety guaranteed kwa siku mbili 3. Ukipaki muda mrefu ndio balaa linaweza kuzuka.
 
ndio inatakiwa....ukizingatia gari ina airbags...no worries kwa kweli

Inategemea airbags zenyewe ziko wapi, maana gari nyingine unakuta airbag kwa dereva tu, usalama wa abiria unakuwa mdogo
 
now you are talking Lizzy! hivi gari lako unapaki wapi? njoo upaki home siku moja bana! safety guaranteed kwa siku mbili 3. Ukipaki muda mrefu ndio balaa linaweza kuzuka.
Hahahah unatangaza biashara jamvini huogopi wadandiaji!!????Nwy utanichaji?
 
Hivi ukigongwa kwa nyuma air bags ina msaada?

Kuna zile gari zina curtain airbags mpaka kwenye rear wind screen, tatizo ni impact, unaweza ukagongwa kwa nyuma kama impact siyo kubwa airbags zinagoma
 
gari yangu ina airbags 8....msinichoshe kutaka kujua ziko wapi na wapi

Tatizo siyo no. Ya airbag inategemea impact, unaweza ukagongwa mbele/ nyuma kama impact siyo kubwa hizo airbag zako 8 zote zikagoma kufumuka
 
Hahahah unatangaza biashara jamvini huogopi wadandiaji!!????Nwy utanichaji?
usiogope wadandiaji hapa tupo kicharity zaidi kila wakidandia ndio manufaa ya sadaka yanaongezeka! hauchajiwi dada, ondoa hofu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…