Tatizo siyo no. Ya airbag inategemea impact, unaweza ukagongwa mbele/ nyuma kama impact siyo kubwa hizo airbag zako 8 zote zikagoma kufumuka
khaaaaa! hii ajali hata kuwaelezea insurance company basi inabidi ujipange adhawaizi hakuna kompensesheni. dah! hili ni balaa sasaHivi ukigongwa kwa nyuma air bags ina msaada?
khaaaa! :whoo:gari yangu ina airbags 8....msinichoshe kutaka kujua ziko wapi na wapi
</p><font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">...msaada tafadhali, naitafutia gereji mpya <i>'pijo'</i> 403 yangu!</font></font></font></p>
<p> </p>
<p><img src="http://4.bp.blogspot.com/_z2eWJb9n488/TQKREhWG68I/AAAAAAAAC8o/qu7_LRK2i2Y/s1600/0786.jpg" border="0" alt="" />
...msaada tafadhali, naitafutia gereji mpya 'pijo' 403 yangu!
gari kama hizo pijo 403, Anglia, ford cortina hazihitaji ufundi sana ijapokuwa ni gari za zamani na ni chache sana barabarani, fundi yoyote mtaani anaweza kukufanyia kuanzia routine service,engine overhaul na hata body painting ukitaka
ha ha ha haaa na we lizzy nawe, mmh!!!!!!!!Chini ya mti pale mtaani kuna sehemu wanajaza pancha na kubadili tairi....sio ghali ila kazi wanayofanya haitadumu sana!!!
Inabidi utafute fundi mzuri anaeijulia....wengine wote watakuchakazia tu!!!...kwanza nashukuru kwa kutambua hilo ni chache zimebakia miitaani.
Inajidhihirisha uimara wake compared na age. Ila hiyo busara ya kuambiana
fundi yeyote anaweza ,...hapana bana. Gari yangu sio ya majaribio kila ajidhaniaye fundi ajijaribishie!
Hahahh ...nimefanyaje jamani???ha ha ha haaa na we lizzy nawe, mmh!!!!!!!!
msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!
Mafundi na magereji yanakuwa regulated na TBS? Nadhani unachemka.Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS
Vizuri kila mwenye gari akasome ufundi makenika.
Gari likikorofisha anatengeneza mwenyewe.mia
....Angalizo ni vyema kuwa na garage moja unayoiamini yenye ujuzi wenye viwango vya TBS ,hata kama spare zake zitaagizwa moja kwa moja toka japan wakati ukisubiri service....
Big up MDADA, maana yake UWE NA MWENZA MMOJA ANAYEFANYA SERVICE YENYE KUELEWEKA. haya mambo ya kukimbia kimbia eti unatafuta watu wanaojua kufanya service mmechemsha.
Big us sister,VIPOFU MUONE NA VIZIIWE MSIKIE. NYAMA NI ILE ILE.
lakini kweli......au nikaangukiwa na container kabisa......uhh God forbid