Ukitaka kufungua ‘bakery’ ya mikate , fuata hatua hizi rahisi

Joined
Feb 9, 2017
Posts
18
Reaction score
23
Nahitaji msaada wa vifaa na gharama zinazohitajika ili kuanzisha sehemu ya kuzalisha mikate

Naombeni msaada wenu Wana forum

flyer21-1024x727.jpg

Tanzania ya Viwanda kama anavyosema Rais Dk John Pombe Magufuli, inawezekana na hata wewe unaweza kumiliki kiwanda kwa kuanza na mtaji mdogo kabisa! Hebu tuzungumzie hatua unazopaswa kuzifuata unapotaka kufungua biashara ya kuoka mikate (bakery).

Habari njema ni kwamba unapofikiria kuanzia biashara hii, tambua kwamba kampuni ya uuzaji wa vifaa mbalimbali vya mahotelini, majumbani na viwanda vidogo ya Uni Industries, itakuwa nawe bega kwa bega kukurahisishia upatikanaji wa vifaa vyote vinavyotakiwa katika biashara ya bakery.

“Vifaa vya muhimu vinavyotakiwa kuwa navyo, kwanza unatakiwa kuwa na jiko la kuokea mikate (oven), prover kwa ajili ya kuumulia unga wa ngano, mixer ya kuchanganyia mahitaji yote ya mkate, slicer kwa ajili ya kukatia mkate kupata, meza pamoja na mikebe ya kuhifadhia mikate kwenye oven.

“Hapa Uni Industries, tunavyo vifaa vyote hivi, na tunaweza kuwahudumia kuanzia wajasiriamali wadogo mpaka wale wakubwa kabisa. Kwa mfano, kwenye majiko ya kuokea mikate, kuna hili jiko linaitwa Rottery Oven, yapo ya single deck kwa ajili ya wajasiriamali wadogo, lakini kuna double deck na triple deck kulingana na mahitaji ya mteja,” alisema Roscoe Bremer, Meneja wa Kanda wa Uni Industries na kuongeza:

“Majiko haya yanatumia zaidi diesel kuliko umeme, umeme unahitajika kidogo tu wakati wa kuwasha, na kama unavyojua umeme ni ghali kuliko mafuta, kwa hiyo mtu akinunua majiko haya, atakuwa na uhakika wa kupata faida kubwa kwa sababu jiko halitumii umeme mwingi.

Rotary-Oven.jpg

“Pia bidhaa zetu zote zinatengenezwa kwa ubora wa kimataifa, tunavyo vifaa kutoka kwa washirika wetu, MacAdams, IPSO, Fooderv Solutions na kadhalika, yanayosifika kwa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu duniani kote.

“Maduka ya Uni Industries pia yamesambaa kuanzia hapa jijini Dar es Salaam, Zanzibar, Kenya, Uganda na Rwanda na hii ni uthibitisho mwingine kwamba ubora wetu ni wa kimataifa.

“Mbali na vifaa vinavyotakiwa ukitaka kuanzisha biashara ya kuoka mikate, pia tunavyo vifaa vingi kwa ajili ya mahitaji kuanzia ya jikoni, mahotelini, supermarket na mashine za kufulia, majiko ya kupikia keki, kukata mbogamboga na matunda, kutengenezea juisi na kadhalika. Bidhaa zetu zina kiwango cha kimataifa na mteja anaponunua, anakuwa na uhakika wa fedha zake kwa kipindi kirefu.

“Lakini pia tunavyo vifaa vingine kama majokofu ya kisasa ya ukubwa tofautitofauti, vifaa vya kusambazia vyakula kwenye sherehe na shughuli mbalimbali (catering services), mashine za kufulia, vifaa vya supermarket kama ‘shelves’ za kisasa, samani za ndani na vingine vingi.”

Kwa mahitaji ya vifaa vingine vingi vya kisasa, tembelea maduka ya Uni Industries yaliyopo Staywell Complex, plot 1720, Haile Sellasie Road, mkabala na Marrybrown, Namanga jijini Dar es Salaam na Forodhani, Zanzibar.

Pia unaweza kuwasiliana nao kwa simu namba 0681 111 999 au 0766 075 031 au kwa barua pepe adil@uni-tanzania.com. Pia unaweza kutembea website yao kwa kubofya www.uni-eastafrica.com. Wahi sasa ili uwe miongoni mwa watu wanaokwenda na wakati kwa kumiliki vifaa vya kisasa vyenye teknolojia ya hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mtaalam sana, lakini mashine zinatofautiana ukubwa kutokana na mahitaji.
Kiwango cha mikate na ukubwa wake zinamchango mkubwa sana kwenye kujua bei itakua imesimamaje.

Nakushauri nunua itakayokidhi mahitaji ya soko lako kwa kuwa ziko nyingi na za ukubwa tofauti tofauti. Pia usisahau gharama za matumizi ya umeme kuweza kujua eneo unalotaka kufanyia biashara litakua Rafiki?

Barikiwa sana na kila la Kheri.
 
Ahsante sana ndugu Allah akutangulie katika mambo yako nitafanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
flyer21-1024x727.jpg

Tanzania ya Viwanda kama anavyosema Rais Dk John Pombe Magufuli, inawezekana na hata wewe unaweza kumiliki kiwanda kwa kuanza na mtaji mdogo kabisa! Hebu tuzungumzie hatua unazopaswa kuzifuata unapotaka kufungua biashara ya kuoka mikate (bakery).

Habari njema ni kwamba unapofikiria kuanzia biashara hii, tambua kwamba kampuni ya uuzaji wa vifaa mbalimbali vya mahotelini, majumbani na viwanda vidogo ya Uni Industries, itakuwa nawe bega kwa bega kukurahisishia upatikanaji wa vifaa vyote vinavyotakiwa katika biashara ya bakery.

“Vifaa vya muhimu vinavyotakiwa kuwa navyo, kwanza unatakiwa kuwa na jiko la kuokea mikate (oven), prover kwa ajili ya kuumulia unga wa ngano, mixer ya kuchanganyia mahitaji yote ya mkate, slicer kwa ajili ya kukatia mkate kupata, meza pamoja na mikebe ya kuhifadhia mikate kwenye oven.

“Hapa Uni Industries, tunavyo vifaa vyote hivi, na tunaweza kuwahudumia kuanzia wajasiriamali wadogo mpaka wale wakubwa kabisa. Kwa mfano, kwenye majiko ya kuokea mikate, kuna hili jiko linaitwa Rottery Oven, yapo ya single deck kwa ajili ya wajasiriamali wadogo, lakini kuna double deck na triple deck kulingana na mahitaji ya mteja,” alisema Roscoe Bremer, Meneja wa Kanda wa Uni Industries na kuongeza:

“Majiko haya yanatumia zaidi diesel kuliko umeme, umeme unahitajika kidogo tu wakati wa kuwasha, na kama unavyojua umeme ni ghali kuliko mafuta, kwa hiyo mtu akinunua majiko haya, atakuwa na uhakika wa kupata faida kubwa kwa sababu jiko halitumii umeme mwingi.

Rotary-Oven.jpg

“Pia bidhaa zetu zote zinatengenezwa kwa ubora wa kimataifa, tunavyo vifaa kutoka kwa washirika wetu, MacAdams, IPSO, Fooderv Solutions na kadhalika, yanayosifika kwa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu duniani kote.

“Maduka ya Uni Industries pia yamesambaa kuanzia hapa jijini Dar es Salaam, Zanzibar, Kenya, Uganda na Rwanda na hii ni uthibitisho mwingine kwamba ubora wetu ni wa kimataifa.

“Mbali na vifaa vinavyotakiwa ukitaka kuanzisha biashara ya kuoka mikate, pia tunavyo vifaa vingi kwa ajili ya mahitaji kuanzia ya jikoni, mahotelini, supermarket na mashine za kufulia, majiko ya kupikia keki, kukata mbogamboga na matunda, kutengenezea juisi na kadhalika. Bidhaa zetu zina kiwango cha kimataifa na mteja anaponunua, anakuwa na uhakika wa fedha zake kwa kipindi kirefu.

“Lakini pia tunavyo vifaa vingine kama majokofu ya kisasa ya ukubwa tofautitofauti, vifaa vya kusambazia vyakula kwenye sherehe na shughuli mbalimbali (catering services), mashine za kufulia, vifaa vya supermarket kama ‘shelves’ za kisasa, samani za ndani na vingine vingi.”

Kwa mahitaji ya vifaa vingine vingi vya kisasa, tembelea maduka ya Uni Industries yaliyopo Staywell Complex, plot 1720, Haile Sellasie Road, mkabala na Marrybrown, Namanga jijini Dar es Salaam na Forodhani, Zanzibar.

Pia unaweza kuwasiliana nao kwa simu namba 0681 111 999 au 0766 075 031 au kwa barua pepe adil@uni-tanzania.com. Pia unaweza kutembea website yao kwa kubofya www.uni-eastafrica.com. Wahi sasa ili uwe miongoni mwa watu wanaokwenda na wakati kwa kumiliki vifaa vya kisasa vyenye teknolojia ya hali ya juu.
 
Hongereni nataka kujua Mashine za kufulia ni bei gani nataka kwa matumizi ya Nyumbani ,sehemu niiopo maji yana chumvi sana ,kwahiyo lazima iwe rafiki kwa matumizi isipate kutu
 
Mnakozitoa hizo machine hao ndo wenye viwanda sasa.

Chagua kusuka au kunyoa
 
Hivi hakuna majiko ya mikate yanoyotumia nishati mbadala kama mkaa
 
Liati kama ungeweka details kidogo za mradi wako ingesaidia kupata ushauri unaoendana na ulichopanga kufanya ila kwa namna ulivyoiweka hii mada inafanya watu wengi tuchangie juu juu kama swali lilivyo.

Nisiende huko sana. Yapo majiko mbadala kwa mahali kama arusha yanatengenezwa na mjasiriamali mmoja yanatumia OIL CHAFU badala ya umeme au mkaa, sina hakika kama yanaweza kukufaa.

Pia yapo maoven yanayotumia Gas nadhani gharama zake n rahisi kidgo kuliko hizi za umeme sababu unaweza kuta kuanzia ukubwa wa kati inakulazimu utumie 3 phase. Unafaa kuwa na vitu vifutavyo Baking trays,Dow Mixer,Oven na vikombwezo vingine ambatanishi kama meza,stand ya kuweka mikate ikitoka kweny moto etc
 
Kwanza inategemea na mtaji uliona na soko ulilolenga. Lakini unatakiwa angalau uwe na eneo, Mashine ya kuchanganyia unga na vinginevyo, sehemu ya kuumulia, makopo na oven. Kwa bekari ya biashara andaa kama 15M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom