Ukitaka kufungua ‘bakery’ ya mikate , fuata hatua hizi rahisi

Hata mimi nina family member anaimiliki hiyo bakery. Ameniambia inalipa kiasi chake. Bajeti anasema siyo chini ya milioni 30 na kuendelea kwa bakery yenye vifaa vya kisasa.
Kuna mdau mmoja ni member humu akifahamika kwa jina la Aljeciras amejinasibu kuuza vifaa vyote vya bakery. Namba yake ya simu aliweka hapa jukwaani 0713 66 26. 55. Anasema yupo Kariakoo. Mtafute, huenda akakupa na ushauri kabisa wa vifaa vilivyo bora. Kila la heri Sheikh wetu.
 
Nenda kwa Ontario akufundishe namna ya kupiga promo..kuna makosa mengi ya kiufundi umefanya...tayar watu wamejua hili ni tangazo la biashara...ila umeanza vizur..tangazo ungeweka mwishoni
 
kwa faida ya wote iyo oven ni kiasi gani mkuu
 
Samahani wadau naomba kuuliza mwenye ujuzi na bakery nahitaji nifungue lakini sifahamu chochote pa kuanzia,ila eneo ninalo la kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…