mie niliandikiwa not admitted, nikafanya appl upya, bt nimejarib kubadil code inaniambia you are already admitted, lakin kwa profile Not Admitted bado inaonekana. Help me people
usiku mzima cjalala nasubir TCU hawa jamaa wataniua
Thanks God! Nime be admitted. Daa! Pamoja sana wazee...
Logout halaf login tena imewatokea baadhi ya watu
Ww imukubal wap nan kuambia web hko available now 2ctshane bhana
jamani hivi usernema ndo hizi zinakua ivi s222/3434/2009 au nachanganya...kuna dogo ndo kanipa username katika mfumo huo(na passwd kanipa) ila naona ina goma kulogin..............................HELP PLEASE
kwenye iyo s222 anza hv S0222 hope itafunguka
SORRY TENA KWA MARA NYINGINE NIMEPEWA USERNAME IKO IVI S2223/0075/2009.......amenipa na passwd bt inagoma tatizo litakua wapi hapo wakuu??.......pia nimejaribu kuweka 0 yaaani S02223/0075/2009 bado ni yaleyale