Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Fanya hivi weka link tuyachek maana mmeshaanza mambo yenu na dawa yenu kuwa report muwe banned 2 maana sasa mnaleta utoto

Wameshaanza kuja kukusumbua? Ha ha ha ha kaazi kwelikweli
 
jombaa nina mabest wangu wa2 na mdogo wangu amepata hapo so kama ni blah blah achana nayo ila ukweli ndo huo brother
 
Fanya kunipa link ya mojamoja kwa moja niyaone coz me naingia nakuta certificate na diploma 2. hopl ts tumaini Iringa au nakosea
 
i thnk itakuwa true coz kuna washkaji wangu nimewachek waliomaliza form six mwaka huu
 
Hakuna me nataka wa2 wawe na huakika na threads zao maana me nachek nakuna na majina ya vyeti na dip 2 kaka
 
Wameshaanza kuja kukusumbua? Ha ha ha ha kaazi kwelikweli
Ipicalypse nakubali saana harakati zako humu jf since mwaka jana sema unaboa sasa jombaa nipo serious jaman acha ni link web au pdf kabisaaaaaa
 
Mbona kujitetea kwingi kaka majina ya direct applicants yale co via tcu kaka, jipange
 
[h=2]
Re: Hatimaye t.c.u wametoa majina ya selected applicants for 2012/2013 years of studies in iringa un[/h] Mbona kujitetea kwingi kaka majina ya direct applicants yale co via tcu kaka, jipange
 
Hivi vyuo vingine vinasubiri nini hata kupost majina ya waliochaguliwa kwenye website zao.Hii kuwa niko admitted ya TCU hatuimani sana hasa ukizingatia yale mambo ya eligible na not eligible hata kama ulikuwa na sifa zinazotakiwa.
 
[h=2]
Re: Hatimaye t.c.u wametoa majina ya selected applicants for 2012/2013 years of studies in iringa un[/h] Mbona kujitetea kwingi kaka majina ya direct applicants yale co via tcu kaka, jipange
for sure huwezi kuniamini hapa ila nadhani atatokea tu mtu humu amechaguliwa pale na ame apply kwa t.c.u then ndo utaamini anyway sio ishu mdau LINK HIYOOOOOOOO
 
oya i thnk itakua true coz kuna washkaji wangu wamemalia 4m6 mwaka huu na nimewaona pale
 
heading; TCU; nipimegiwa simu!!!
messege: Nimepigiwa na vyuo nilivyochagua(plural sio chuo kimoja, wala sio tena TCU)
baadae tena; jordan university
Jordan University ndo nini??????
JITAHIDI KUFICHA UJINGA WAKO...



Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…