Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri

Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri jalibu tu siku mutoke hakikisha yeye amependeza then muende sehemu zenye mkusanyiko wa watu kisha usitembee nae karibu muache urefu wa mita tu utakuja nipa majibu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Michezo mingine siyo ya kuharibu kbs...unamwacha nyuma unakuja kustuka wahuni wameshachukua namba
 
Back
Top Bottom