Ukitaka kujua SIMBA SC kuna tatizo uko kwenye uongozi,, Ahmed ally anakupa majibu

jifunze kiswahili na kiingereza uandike na sisi wenye elimu tukisoma tukuelewe.
 
Bila kusahau mnamkopo wa bil 67 baada ya kutoa zile bil 20 za kwenu.
 
Sidhani kama kuna tatizo la fedha vinginevyo wasingeweza kuvunja mikataba na kutoa thank you kwa wachezaji ambao mikataba yao haijaisha. Kuna propaganda nyingi chafu dhidi ya Simba zinaendeshwa na waandishi na wachambuzi wa mpira wengi sana na pia washabiki wengi wako frustrated na kukosa ubingwa na kufungwa mara tano mfululizo na Yanga. Uongozi wa Simba umechagua kukaa kimya na kufanya mambo yao kwa usiri ili waje kuwa prove wrong hao malanjanja wanaoendesha propaganda hizo.
 
Wewe ni muathirika wa propaganda za utopolo,yaani timu imecheza fainali ya CAF baada ya miaka 32,imekosa ubingwa kwenye mechi ya mwisho bado unalaumu badala ya kuwatia moyo viongozi
 
Wewe ni muathirika wa propaganda za utopolo,yaani timu imecheza fainali ya CAF baada ya miaka 32,imekosa ubingwa kwenye mechi ya mwisho bado unalaumu badala ya kuwatia moyo viongozi
Kwa hiyo ndio mafanikio hayo au?
 
Usiwe na shida, tutafanya vizuri sababu Boss ameacha kununua wachezaji wazuri aababu ya gharama kubwa, amewekeza kwa marefa, makocha na baadji ya wachezaji wa timu pinzani kwa kuwalipa pesa kidogo kutusaidia kushinda!
 
Mimi ni shabiki wa Simba na mwanachama tangia miaka ya 1987 Hadi Leo.

Nilishasema, team kuchukuliwa na mhindi @ moodewji tutaranie yte haya.

Akiivalisha team madeni utasikia anajiondoa abaki kuidai Simba.
Mo. Arena Iko wapi.?
Kikosi Cha 2 Bil. Kiliishia wapi.?

Janja janja mingi.
Ukishangaa ya @kigwangara utayaona ya mangungu a.k.a mlozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…