Ukitaka kujua ukweli wa imani unayoamini kila siku...jivue kwa mda utayaona mapungufu

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni genius vp@ ukihoji utaishia kukufuru tu.
Wachache km Kiranga wamethubutu sijajua amepata wapi ujasiri...
Tafakari chukua hatua....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hata huyo Kiranga si kwamba haamini Mungu kutokana na hizo sababu anazotumia humu kujengea hoja,hivyo hata wewe ukijaribu kujiweka nafasi ya kupinga uwepo wa Mungu pia utaona mapungufu ya huo msimamo.

Kama ingekuwa hoja za wapinga uwepo wa Mungu ndizo hasa sababu zenye kuwafanya wasiamini uwepo wa Mungu basi isingewezekana miongoni mwao wapinga Mungu kuja kuamini uwepo wa Mungu.

Chukua mfano mtu ambaye haamini Mungu na kusema hakuna uthibitisho wa uwepo wa Mungu halafu uje kusikia mtu huyo amekuja kuamini Mungu,hapo ndio utagundua kinachowafanya wasiamini Mungu ni tofauti na sababu wanazotoa.

Mshana Jr aliwahi kusema Kiranga ana mambo tu ambayo hajakubaliana nayo kwenye dini yake. Hata mie nakubaliana na hilo kwa sababu wengi wao hawa wapinga Mungu matatizo yao huanzia kwenye dini zao na badala kutafuta majibu matokeo yake ndio huangukia kwenye upagani.
 
Kiranga Heshima yko mkuu.pita huku kdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wapo ndan ya box..Wachache sana wamebahatika ktoka katka ilo gereza..mmoja wao n kiranga

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio kuwa ndani ya box,bali ni aina ya box na yaliyomo kwenye hilo box. Kusema hakuna Mungu si kuwa nje ya box bali ni aina nyengine ya box na ndiyo hata huyo Kiranga yumo ndani yake.

Hivyo ni kitendo tu cha kuhama box moja na kuhamia kwenye box lengine,kusema hakuna Mungu si jibu bali pia ni aina ya box hivyo kuna mambo ambayo utalazimika pia ukubaliane nayo tu kwenye hilo box.
 
Back
Top Bottom